Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari,
Je, kuna aliyewahi kupata Genital herpes na akapona? Alifanya mpaka kupona?
Ulitumia dawa gani kuondoa ivo vipele.Siko miongoni mwa wale waliopona, ila kitaalamu inafahamika kwamba:
1: Unaweza kupona vipele vitokanavyo na genital herpes.
2: Unaweza kupunguza kiasi cha utokeaji wa vipele husika kwa matumizi ya dawa na mwenendo wa maisha.
3: Huwezi kupona asilimia mia genital herpes, kwani virusi hawa huenda kujificha/domant kwenye mishipa ya fahamu. Huweza kujitokeza upya mara tu afya ikitetereka au idadi ya virusi inapoongezeka.