Siko miongoni mwa wale waliopona, ila kitaalamu inafahamika kwamba:
1: Unaweza kupona vipele vitokanavyo na genital herpes.
2: Unaweza kupunguza kiasi cha utokeaji wa vipele husika kwa matumizi ya dawa na mwenendo wa maisha.
3: Huwezi kupona asilimia mia genital herpes, kwani virusi hawa huenda kujificha/domant kwenye mishipa ya fahamu. Huweza kujitokeza upya mara tu afya ikitetereka au idadi ya virusi inapoongezeka.