Je, kuna Android App ya kuweza kuboost calling voice?

Je, kuna Android App ya kuweza kuboost calling voice?

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
wadau kwa yeyote ansyeifahamu Android app ya kuboost caller voice maana saut ya sim yangu infinix ninapoongea na sim napata tabu very low voice, nimejaribu baadhi ya App toka play store hakuna utofaut before na afta installing,,
 
Peleka kwa fundi hilo ni swala la hardware
 
Peleka kwa fund abadilishe microphone ndio mbovu sio sauti.

Simu ilianguka ama iliingiliwa na maji?

Hilo ni tatizo la hardware mkuu.

Kubadili microphone isizidi elfu 10.
 
Peleka kwa fund abadilishe microphone ndio mbovu sio sauti...
Nashkuru kwa ushauri japo haijawahi anguka au kuingia maji ni ishu ya sim nyingi za aina hii na mara nyingi tunaamua tumia loud spika
 
Sio kila kitu kinatatuliwa na apps, infinix ni simu mbovu hasa upande wa speaker. Peleke kwa fundi ukaliwe elfu 20 ya speaker.
 
Back
Top Bottom