profesawaaganojipya JF-Expert Member Joined Apr 21, 2015 Posts 1,595 Reaction score 3,416 Aug 17, 2022 #1 Ndugu wana jamvi naomba msaada,nitawezaje kujua kama risiti niliyopewa nifeki au sio feki,je kuna app yeyote ya kutambua risiti za tra?
Ndugu wana jamvi naomba msaada,nitawezaje kujua kama risiti niliyopewa nifeki au sio feki,je kuna app yeyote ya kutambua risiti za tra?
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Aug 17, 2022 #2 Iyo risiti inaTIN number yako?
Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 17,022 Reaction score 36,936 Aug 17, 2022 #3 Kuna website ya kuhakiki risit hata kwa simu. EFD | Receipt Verification Kama ni kwa ajili ya biashara Hakikisha Tin yako ni sahii, muda ni sahihi, VRN ni sahihi na taarifa nyingine kama bei n.k kisha ingiza code. Kama ni mteja hakiki taarifa za muda na kiasi ni sahihi kisha ingiza code.
Kuna website ya kuhakiki risit hata kwa simu. EFD | Receipt Verification Kama ni kwa ajili ya biashara Hakikisha Tin yako ni sahii, muda ni sahihi, VRN ni sahihi na taarifa nyingine kama bei n.k kisha ingiza code. Kama ni mteja hakiki taarifa za muda na kiasi ni sahihi kisha ingiza code.
APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 5,316 Reaction score 9,596 Aug 17, 2022 #4 Download QR SCANNER, Unakuwa una scan ile bar code pale chini ndo inakuletea info alizokuambia mdau hapo juu Tsh
Download QR SCANNER, Unakuwa una scan ile bar code pale chini ndo inakuletea info alizokuambia mdau hapo juu Tsh