Lakini hiyo app inaonesha source yake ni play store. Ku_install kwa apk ni ngumu kwa asiye na uzoefu wa kuichezea simu. Bahati mbaya sikumbuki jina la hiyo app. Ila kila aliyepata shida aliniambia vivyo hivyo.Sio rahisi, watu wanainstall apk za ku download ambazo ziko modified na malware. Zishawahi kutokea play store ila Google wakizitambua wanazifuta hadi kwenye simu.