Je kuna athari yoyote kwa kuishi na figo moja?

Tus66

Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
14
Reaction score
1
Zipi athari za kuishi na figo moja kwa waliodonate figo?
 
dushelele inakua haipigi kazi inavyotakiwa
Saimon philip, wanaouliza humu wanahitaji kupata ufahamu na ufafanuzi wa kitaalamu, sio sehemu ya majibu kama haya kaka, inahuzunisha anayeuliza atakapokutana na jibu hili na yeye ana wasi wasi na anahitaku kujua.
kwa mtoa mada Tus66, hakuna madhara yoyote iwapo figo iliyobaki inafanya kazi vizuri, kuna wengine wameweza kuwapa ndugu zao figo moja na wao kubakiwa na moja na wanaishi maisha ya kawaida bila tatizo lolote, ni vyema kufika ukapimwa kwani vipimo hufanyika na utapewa majibu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…