Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,778
Mwanamke akiwa na mimba nyama ya tumbo huvutika kutokana na mzigo uliomo tumboni, anapojifungua nyama ile huchukua mda mrefu kabla ya kurudi kwenye hali yake.
Je, kuna dawa ya kusaidia kuirudisha katika hali yake kwa mda mfupi?
Dawa ni mazoezi tu!Mwanamke akiwa na mimba nyama ya tumbo huvutika kutokana na mzigo uliomo tumboni, anapojifungua nyama ile huchukua mda mrefu kabla ya kurudi kwenye hali yake.
Je, kuna dawa ya kusaidia kuirudisha katika hali yake kwa mda mfupi?
We muongo, kuna mahusiano hapo?Dawa ni mazoezi tu!
Dah mauwajii hayoo mazoez kwn kapat shock wakt wa kujifngua au?Dawa ni mazoezi tu!
We muongo, kuna mahusiano hapo?
Weka link hapa nifuatilieDawa ni mazoezi...soma success stories za J Lo, Heidi Klum, Victoria Beckham, Ciara, Amber Rose....weengi tu! Na hata program za hayo mazoezi zipo online. Ni uvivu tu unaoharibu shape za dada zetu baada ya kujifungua!
Dawa ni mazoezi...soma success stories za J Lo, Heidi Klum, Victoria Beckham, Ciara, Amber Rose....weengi tu! Na hata program za hayo mazoezi zipo online. Ni uvivu tu unaoharibu shape za dada zetu baada ya kujifungua!
Maji ya moto yanapogusana direct na ngozi, yanafanya unakuwa na tumbo la kutepetaDawaa nii majii ya matoo tu huwaa baada ya kujfungua unakandwaa majii asbh na jioni kwaa muda wa sik 7 tu
Hyoo Ni kw Afyaa bt kwny Dini ya islamic mama alyetkaa kujfngua anatkiwa baada ya 40 ndyoo anatkiw au anawez kfnya tna sexual intrcsMaji ya moto yanapogusana direct na ngozi, yanafanya unakuwa na tumbo la kutepeta
Unaweza nunua chupa za mpira zile unaweka maji ya moto, then unakuwa unajikanda. . Japo maji ya moto yanasaidia zaidi kutoa uchafu tumboni
Wanashauri as soon as ukipona chini even after 2 weeks, you should start sexual intercourse inasaidia kukaza tumbo
Nimekuelewa mkuu. . Ila sasa kama mkishindwa kuvumilia? [emoji125] [emoji125]Hyoo Ni kw Afyaa bt kwny Dini ya islamic mama alyetkaa kujfngua anatkiwa baada ya 40 ndyoo anatkiw au anawez kfnya tna sexual intrcs