Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wasalaam aleikum wana jf. napenda kuuliza km kuna dawa za kuongeza nguvu za kike km walivyo wanaume. au je wao hawapati matatizo wayapatayo wanaume?
Dawa ya nguvu ya kike tumia hii Juisi ya Tangawizi nusu kijiko pamoja na yai la kuku wa kienyeji liliochemshwa na Asali safi mbichi ya nyuki. Tumia kila siku kwa muda wa mwezi mmoja kisha unipe feedback.@lukme P.h.D.MziziMkavu

mbona hujamwambia hiyo juice anatengenezaje ?
Ni hiyo Asali anatumia vip
please weka full recipe
:flypig: