Je, kuna dawa za kuongeza uume, makalio, matiti na unene?

denis eliah

Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
49
Reaction score
68
Tume Kua Tukiona Au Kusikia Kila Siku Kuhusiana Na Matibabu Au Dawa Zinazo Tolewa Na Madaktari, Wataalamu, Matabibu Zinazo Husiana na kukuza maumbile ya binadamu kama umme, makalio, matiti, unene, na mengineyo... je ni kweli dawa hizi zipo

1:- kukuza/kurefusha/kunenepesha uume
2:- kukuza makalio (matako)
3:- kukuza/kupunguza matiti
4:-kuongeza/kupunguza unene

Kama zipo tunaomba ushirikiano wenu matabibu, pia msisahau hasara zake, na faida
 
Sema tatizo lako tukusaidie unataka kuongeza nini makalio, matiti au nini
 
Sina shida na hizo dawa kwa kuwa mimi sio Kibamia mkuu...Dushe nililo nalo linanitosha haina haja ya kuliongeza..Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…