KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
NI dhambi GANI haijawahi kuwepo hapo kale, ni mpya kabisa katika ulimwengu wetu huu?
Twende kwa mwendo wa maswali Na majibu
Twende kwa mwendo wa maswali Na majibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kuwa mwana chama wa chama cha siasa HASA CCM.NI dhambi GANI haijawahi kuwepo hapo kale, ni mpya kabisa katika ulimwengu wetu huu?
Twende kwa mwendo wa maswali Na majibu
Hujasikia wanaokunywa pombe kupitia haja kubwa!?? Dhambi umewahi usikia wapi!!NI dhambi GANI haijawahi kuwepo hapo kale, ni mpya kabisa katika ulimwengu wetu huu?
Twende kwa mwendo wa maswali Na majibu
Hapo dhambi ni kunywa pombe AU ni kunywa pombe kupitia njia ya haja nene?Hujasikia wanaokunywa pombe kupitia haja kubwa!?? Dhambi umewahi usikia wapi!!
AI inakuwaje dhambi? Hebu fafanuaAkili mnembe
Haha hahaTabia za watu kumuomba Mungu kwenye WhatsApp status, nadhani hii ni dhambi mpya
Hakuna dhambi wala haijawahi kuwepo, niulize kwa nini pleaseNI dhambi GANI haijawahi kuwepo hapo kale, ni mpya kabisa katika ulimwengu wetu huu?
Twende kwa mwendo wa maswali Na majibu
Weeewee! Unajua uchawa? Jonathan alikuwa mtoto wa mfalme! Hakuwa na njaa na hakuwa na njaa ya madaraka kwasababu baba yake alikuwa mfalme! Machawa tunayoyaongelea ni yale yanayokumbatia viongozi iliwapate mkate au teuzi!
Akili mnembe
Uchawa ni dhambi! Unamtukuza mtu kwa viwango vya Mungu!kwani ni dhambi?
Nimeuliza kuhusu akili mnembe na si uchawa..!!Uchawa ni dhambi! Unamtukuza mtu kwa viwango vya Mungu!