Kwa yeyote anaefahamu naomba alinijulishe kama kuna faida yoyote mkulima anayoweza kunufaika nayo kutoka kwenye program ya kilimo kwanza kama mafunzo, dawa za mimea na mbolea. Kuondolewa kodi kwenye machinery kwa ajili ya kilimo na kadhalika.
Ahsanteni.