Kwanza ujue India ina lugha nyingi mno, pia China ni nchi yenye nguvu ya kiuchumi kimataifa( manufacturing hub)Hata Kihindi? Maana India ina watu bilioni 1.4 😁
Hao ni juniors.. Wakongwe ni kuanzia 3+Site ya Mchina translator wa Kichina-Kiswahili analipwa hadi 1mln
Mpaka sasa China imeshakuwa advanced sana, kwa infrastructure wameiacha mbali MarekaniBora ujue lugha rasmi, translator ya mtandao inachukua muda na ile flow nzuri ya mawasiliano inapotea.
Huko mbeleni, china ndio anaenda kuwa super power wa dunia na alivyo mjivuni yule mwamba nadhani lugha yake itatamba sana
Nitaangalia nikipata muda nijifunzeInategemea wewe unajishughulisha na nini,
Mfano, most banks sasa hivi zina chinese desk, so ukiwa relationship manager wa bank ukajua kichina bonge la added advantage.
Ukiwa DALALI utapiga hela sana, kuna wachina wanakuja kutafuta uwekezaji eg kwenye migodi, wanatumia madalali wanaojua kichina, hawa madalali wana nyodo hatari, nilikutana nao mahali . Kwenye website za ajira kila siku zinatangazwa nafasi za wanaojua kichina.
Pia vitengo vya uwekezaji kama TIC, wanahitajika sana chinese translator .Kuna mmoja mahali namjua ni chinese translator analipwa $300 kwa siku.
So angalia fani yako unaweza ukatokamo.
Yaani kwa fani yako ni jambo jema sana ukaongeza na chinese. Mie nimeanza kujifunza kwenye Duolingo, mdogo mdogoNitaangalia nikipata muda nijifunze
Mi nasomea Mechanical Engineering
Mmmh yan wew mfano ukiambiwa kuna kampuni yamchina inakutaka na kampuni yamzungu utaenda wap, ukwel nikwamba kwamzungu kutoboa uhakika mchina anajitafutaMpaka sasa China imeshakuwa advanced sana, kwa infrastructure wameiacha mbali Marekani
Haijalishi kama itakuwa super power au la ila China ilipofikia tayari imesha gain influence kubwa sana
Especially huku kwetu, Mwafrika anaona ni bora afanye kazi na Mchina kuliko Mzungu
Of course binafsi nitaenda kwa MzunguMmmh yan wew mfano ukiambiwa kuna kampuni yamchina inakutaka na kampuni yamzungu utaenda wap, ukwel nikwamba kwamzungu kutoboa uhakika mchina anajitafuta
Kwa hiyo utaongea na Mchina kwa AIHivi kuna faida ya kujifunza Kichina?
Maana naona sikuhizi kuna translators kibao kwenye devices zetu, kuna AI zinasaidia kwa kiasi kikubwa kurahisisha mawasiliano mpaka kuna muda najiuliza kama kujifunza Kichina ni worth it anymore
Je kuna faida gani ya kujifunza kichina, 2026? Au hakuna umuhimu tena
Umesema mpaka Kuna desk help kwa lugha ya kichina, labda ni zile benki zao za kichina.Vyote mkuu, wapo wachina wanajifunza Kiswahili na wapo waswahili wanajifunza Kichina