Je kuna faida kujifunza Kichina?

Ni faida gani umepata kujua lugha ya kwenu huko vijijini?
 
Ni faida gani umepata kujua lugha ya kwenu huko vijijini?
Mi najua lugha mbili tu kichwani mwangu
Kiswahili- hiki natumia kuongea na watu everyday, maana nipo Tanzania
English- natumia kwenye elimu, pia nafuatilia entertainment nyingi kwa English na habari za nje ya Tanzania nyingi nazipata kwa Kiingereza

Hamna lugha nyingine ya kijijini ninayoijua
 
Tutafanyaje sasa mkuu
Umeona wananchi walijaribu kuitoa CCM wakauliwa kikatili. There's no way
Ila in reality ilipaswa vijana wa Kitanzania ndio washike uchumi wa nchi ila uchumi unashikwa na foreigners
 
BANK CHINESE DESK MANAGER

Habari

•Benki ya Eco Bank wanatafuta Chinese Desk Manager.

•Sio lazima uwe unajua Banking products kwa vile unaweza kufundishwa.

•Ila candidate awe anajua kuongea kichina vizuri.

•Budget ya mshahara ni TZS 5M per month

•Wasiliana na HR Manager

Nancy Malekia
Mob: 0767345050
Email: NMalekia@ecobank.com
 
Kwa sasa dunia inaelekea China...Kuna nchi jirani tayari kichina ni somo katika shule zao za msingi
 
Yeah Sasa hivi kazi zipo nyingi sana za kuongea kichina. Vijana wachangamkie fursa
 
Kichina kinakusaidia Kulingana na Ujuzi wako,
Kwa Mfano
Wewe Kama ni Mwalimu kichina Kina kupa fursa ya kufundisha kiswahili sehemu ambazo hawajui kichina na kufundisha kichina sehemu ambazo hawajui kichina

Pia Utakuwa na uwezo wa kushiriki fursa nyingi zinazo Husisha wachina
Mfano apa Tanzania wachina wanajenga viwanda na uwekezaji mwingi wewe ukiwa unajua kichina una nafasi Kubwa ya kufanya Kazi katika miradi yao kulinganisha na asie jua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…