Je, kuna gharama gani nyingine pale bandarini kwa mtu aliyeagiza gari nje?

Madeni ya biashara ingine tu.... Ila tin ndio nataka kuitumia kulipia gari... Nkajua wanaweza wakaweka limitation kuwa lazima nilipe ya nyuma yoote!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifikirii hali iko hivyo, kuna kipindi nilikua nadaiwa road license lakini haikuwahi kunisumbua kurenew leseni au kulipia mambo mengine. Na hilo deni lilitokana na mtu niliyemuuzia gari hakuwahi kulipa road license hadi ulipotoka msamaha wa rais.
 
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…