Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Kutokana na barua iliyoandikwa na Yanga juu ya malalamiko ya mpira uliopigwa na Stéphan kuwa na makosa mengi ya uandishi na claims ambazo hazikufanyiwa analysis za kutosha, kitu ambacho kimeenda kushusha hadhi ya mpira wa Tanzania na kuleta majadiliano makubwa ndani ya administration ya CAF, je kuna haja ya kuhakikisha barua zote zinapitia TFF kabla ya kutumwa?
Mzozo mkubwa ndani ya CAF, ni as to how wao wamepanga matokeo ya mchezo kitu ambacho CAF inakusudia kuijibu Yanga kuwa walete evidence ya match fixing or else watalipa fine au kufungiwa msimu mzima kutoshiriki michuano yoyote ya CAF for the whole fiscal year au kulipishwa fine na kwa pamoja kufungiwa ushiriki wao CAF.
Kama CAF wakitekeleza hili, hii itakuwa ni hatari kwa soka letu.
Nadhan kuna haja barua zote za vilabu zipitie kwanza TFF for validation ndio ziende CAF, ili kuepuka ukurupukaji na inadequate analysis itakayogharimu taifa