Je, kuna haja ya barua zote kutoka Vilabu vyetu zipitie kwanza TFF ndio ziende CAF?

Ngoja tuone.😎
 
Kwenye swala la. Kudai haki yanga hajawahi kuwa muoga engana nao mfungie msimu ujao

Hajawahi kuwa muoga na hajawahi kufanikiwa kwa sababu hawafanyi analysis za kutosha

Wana baseless claim San
 
Kwenye kulalamikia goli ningewaelewa ila match fixing ni mwendelezo wa hii timu kutotumia akili. Nafikiri walifanya hivyo kutaka kutengua matokeo. Wapo wengi kama kamati ila mimi mmoja naweza kuwa vizuri kuliko hiyo kamati

Copy and paste , huu ujinga ulianzishwa mitandaoni na yule aliyekuwa mbunge wa EAST AFRICA

Wakaingia kingi bila analysis na kusoma

Aibu
 
Yaani hapo ingepitia TFF halaf wakaona Haina mantiki wakaiacha unadhani ingetokea Nini Kwa mashabiki wa Yanga na viongozi wao wangesema karia ni Simba ndo maana ameshindwa kupitisha barua Yao kwenda mbele. Sasa hapo itaadhibiwa timu Kama timu syo shirikisho la soka la bongo maana hapo ikiadhibiwa Yanga, Simba na Taifa Stars hazitahusika lkn ikiadhibiwa TFF wote tunaathirika Kwa kosa la mjinga mmoja
 
Hiyo evidence ya match fixing ni ya Moja kwa Moja kwa mtu yoyote aliyesoma.sheria Wala haitaji document yoyote na hili litafanya CAF kuacha kuchagua viongozi wanaomiliki timu zinazishiriki kwenye mashindano ambayo mmilikinwa timu anasimamia mashindano hayo.

Wewe unadhani refa na wasimamizi wa VAR wakati wanachezesha mchezo huo walikuwa hawajui kuwa mamelody ni timu ya Raisi wa CAF na pale walikuwa nyumbani kwake?Hata kama hakuongea chochote nao lakini upendeleo wa kujitakia unaweza kuwepo

NEMO JUDEX IN CAUSA SUA
 
🚮
 
Mwanasheria wa Yanga aliyeandika barua hiyo yuko kwenye kamati ya sheria ya FIFA.

Wewe mtu wa kijiweni una qualification gani za kuweza kuhoji uamuzi wa mwanasheria anayetambulika kimataifa?
Ile barua si walichukua ushauri wa Stephen Masele?
Waandike kulikuwa na Match fixing ili warudishwe kwenye mashindano
 
Hapana; barua ilikuwa drafted kabla hata hawajaondoka Afrika ya kusini kurudi nyumbani baada ya mchezo.
Masele alitoa huo ushauri mara tu baada ya mechi ya Yanga kuisha kwa kupost mtandani... Watuhumu kuwapo kwa match fixing ili warudishwe kwenye mashindano
 
Kwenye kulalamikia goli ningewaelewa ila match fixing ni mwendelezo wa hii timu kutotumia akili. Nafikiri walifanya hivyo kutaka kutengua matokeo. Wapo wengi kama kamati ila mimi mmoja naweza kuwa vizuri kuliko hiyo kamati
Hoja pekee na nzito inayoweza kuwakalisha kikao CAF ni kuangalia uwezekano wa match fixing kutokana na maamuzi yaliyojichanganya, kitu ambacho Yanga wameomba kwenye barua na sio kutuhumu kuwa kulikuwa na match fixing kama ambavyo wasiojua English wanadai.

Hii kesi ni muhimu sana ili kuzuia mwendelezo wa uonevu wa CAF huko mbele kwenye mipango ya Yanga kubeba CAF champion league cup.

Tutulie tuone CAF wataamuaje. Dawa ya moto ni moto, liwalo na liwe, ili CAF washinde kesi ni lazima watoe ushahidi kuwa lile si goli halali kitu ambacho kitaibua mjadala mwingine mkubwa.

Kitu ambacho CAF watafanya ni kuchelewesha maamuzi ya kesi hadi michuano iishe na kisha kuipa ushindi Yanga kwa kuwaangushia jumba bovu VAR crew na refa na kuwapa adhabu. Yanga ni mshindi kwenye hii kesi Mpira umedunda ndani kila jicho limeona.
 
Masele alitoa huo ushauri mara tu baada ya mechi ya Yanga kuisha kwa kupost mtandani... Watuhumu kuwapo kwa match fixing ili warudishwe kwenye mashindano
Lakini barua yao haikutoa tuhuma za match-fixing bali ililamikia administrative error. Tuhuma za match-fixing na administrative error zinashughulikiwa chini ya section moja, hata hivyo match fixing inahitaji ushahidi mkali zaid ya administrative error. Ndiyo maana kwenye tuhuma zao wanasema refa alikwenda kuangalia VAR wakati wa kosa la Lomalisa baada ya kumpa yellow card lakini hakufanya hivyo katika goli hili ambalo lilikuwa na potential ya kuamua mchezo, jambo ambalo ni administrative error.
 
HAPANA kwani TFF ndio kanyiwa goli?
 
Yanga wana mashaka na uamuzi wa referees kiasi cha kupelekea kuana na mashaka zaidi huenda kulikua na match fixing 🐒

Yanga ithibitishe nini hali ya kua wameiomba CAF kufanya uchunguzi na kuondoa hayo mashaka hayo ya Yanga?
 
Hiyo barua ya Malalamiko FC nimeiona na pia ile ya TFF iliyowaandikia CAF kuomba radhi kuhusu kauli ya Ndumbaro kuwa lazima watu waingie uwanjani na passport za South Africa. Dah hicho kizungu cha TFF bora hata hiyo ya Malalamiko FC ina afadhali. Sasa ndio ulitaka hiyo ya Malalamiko FC ipite tena TFF ndio ikazidi kuharibiwa lugha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…