Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
HakikaHujasikia viongozi wa dini wanasemaje?
Wengi hawana hofu ya wananchi,wanajua hata tusipowachagua watakuwa wabunge...
Kwani TEC wanasemaje ?Habari JF, nadhani tangu 2020 mpaka sasa ni muda ambao umetosha kabisa kujua tuna wawakirishi wa aina gani wako pale bungeni .kwa mara ya kwanza June 10 ,2023 kwa hili bunge la 12 nliamua kufuatilia kwa ukaribu sana nini kinaendelea pale bungeni...
kwanza jifunze kuandika vizuri, "wawakirishi" ndiyo nini. Aliyewapeleka bungeni hatunaye tena unafikiri nani atawarudisha?Habari JF, nadhani tangu 2020 mpaka sasa ni muda ambao umetosha kabisa kujua tuna wawakirishi wa aina gani wako pale bungeni .kwa mara ya kwanza June 10 ,2023 kwa hili bunge la 12 nliamua kufuatilia kwa ukaribu sana nini kinaendelea pale bungeni.
Nilijifunza vitu vingi sana kwa hawa wawakirishi kikubwa zaidi ni wawakirishi wanaangalia zaidi uhakika wa nafasi zao hapo baadae kuliko maslahi ya wanao wawakirisha.
Je, kuna haja ya kuendelea nao 2025 hasa hawa JUNE10?
warudi wale tu ambao kweli walionyesha dhamira ya kuwawakilisha watanganyika vizuri na hao hawazidi 15,wengine wote wasirudi kabisa.tuachane kabisa na kundi la akina msukuma na wenzake.Habari JF, nadhani tangu 2020 mpaka sasa ni muda ambao umetosha kabisa kujua tuna wawakirishi wa aina gani wako pale bungeni .kwa mara ya kwanza June 10 ,2023 kwa hili bunge la 12 nliamua kufuatilia kwa ukaribu sana nini kinaendelea pale bungeni.
Nilijifunza vitu vingi sana kwa hawa wawakirishi kikubwa zaidi ni wawakirishi wanaangalia zaidi uhakika wa nafasi zao hapo baadae kuliko maslahi ya wanao wawakirisha.
Je, kuna haja ya kuendelea nao 2025 hasa hawa JUNE10?
wanambeya wajitathimini watawarudisha wabunge wa aina ya tulia ackson?watakubali rushwa za bodaboda?Hujasikia viongozi wa dini wanasemaje?
Wengi hawana hofu ya wananchi,wanajua hata tusipowachagua watakuwa wabunge.
Ndio waliopiga makofi.
Na zaidi wakamjadiri mtu badala ya kilichokuwa mbele yao.
Shida nyingine ni spika,alitaka kila wazo liendane na yeye anavyotaka,na anafikiri ni sawa.
Tunashida.
nashukuru mkuu hope iko sawa sasakwanza jifunze kuandika vizuri, "wawakirishi" ndiyo nini. Aliyewapeleka bungeni hatunaye tena unafikiri nani atawarudisha?
Ni hatari mno ni bora kuifumua na kuisuka upya serikali, nimejifunza jambo kutoka kwa Sheikh Ponda, hapa kuna agenda mbaya sana dhidi ya Tanganyika, Mbarawa na Samia siyo watu wema kwetuHabari JF, nadhani tangu 2020 mpaka sasa ni muda ambao umetosha kabisa kujua tuna wawakilishi wa aina gani wako pale bungeni .kwa mara ya kwanza June 10, 2023 kwa hili bunge la 12 nliamua kufuatilia kwa ukaribu sana nini kinaendelea pale bungeni.
Nilijifunza vitu vingi sana kwa hawa wawakilishi kikubwa zaidi ni wawakilishi wanaangalia zaidi uhakika wa nafasi zao hapo baadae kuliko maslahi ya wanao wawakilisha.
Je, kuna haja ya kuendelea nao 2025 hasa hawa JUNE 10?
I can tell you for sure and without fear of contradictions 85% of them will retain their seats. Ground ni cool poa sana for them huku kwa keyboard 🔥Habari JF, nadhani tangu 2020 mpaka sasa ni muda ambao umetosha kabisa kujua tuna wawakilishi wa aina gani wako pale bungeni .kwa mara ya kwanza June 10, 2023 kwa hili bunge la 12 nliamua kufuatilia kwa ukaribu sana nini kinaendelea pale bungeni.
Nilijifunza vitu vingi sana kwa hawa wawakilishi kikubwa zaidi ni wawakilishi wanaangalia zaidi uhakika wa nafasi zao hapo baadae kuliko maslahi ya wanao wawakilisha.
Je, kuna haja ya kuendelea nao 2025 hasa hawa JUNE 10?
bitter truthI can tell you for sure and without fear of contradictions 85% of them will retain their seats. Ground ni cool poa sana for them huku kwa keyboard 🔥
Kwani TEC wanasemaje ?
VizuriTetesi: - TEC haifurahishwi na mwenendo wa Serikali kuhusu makubaliano ya bandari na DP World
Duru ndani ya TEC hawafurahishwi na namna Serikali ilivyokubaliana na DP Word kuhusu usimamizi wa bandari yetu/zetu. "....Wahashamu wengi hawaungi mkono sintofahamu hiyo na huenda Katibu akaelekezwa aandae Waraka mahsusi kulisemea hilo hivi karibu." "....nadhani baadhi ya vipengere ndani ya...www.jamiiforums.com