Je. Kuna Haja ya Wanafunzi Kusikilizwa Juu ya Mwalimu Wanayemtaka?

Je. Kuna Haja ya Wanafunzi Kusikilizwa Juu ya Mwalimu Wanayemtaka?

Masulupwete

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
2,366
Reaction score
2,424
Nimesema hivyo kwa sababu, mimi binafsi nimesoma shule ya serikali nikiwa O'level then nikasoma shule ya private ktk A-level. Nikiwa O'level, kuna walimu ni wazi walikuwa wachovu ktk masomo wanayofundisha, wengine watoro hawaonekani darasani kwa muda mrefu n.k.

Wanafunzi mkienda kulalamika kwa academic master unakuta huyo academic anamwita huyo mwalimu husika wanaongea then hamwoni mabadiliko, mambo yanakuwa ni yaleyale au ndo yanakuwa mabaya zaidi!

Kwa sababu tayari jamaa ana hasira!

Nilipoenda A-level shule ya private mambo huko yalikuwa tofauti sana! Huko mliweza kubadilisha ticha mchovu ndani ya lisaa tu! Huko ticha mchovu aking'aa watu wanamsikilizia kipindi 1-2, wanamwanzishia anabadilishwa na it worked!
 
Fikiria wewe ni mkuu wa shule, kila darasa wanafunzi wanakuja na hoja ya kubadilishiwa walimu. Walimu wazuri utawapata wapi? Ukiwaendekeza wanafunzi kila siku utakuwa unasolve conflicts tu!
 
Fikiria wewe ni mkuu wa
shule, kila darasa wanafunzi wanakuja na hoja ya kubadilishiwa walimu.
Walimu wazuri utawapata wapi? Ukiwaendekeza wanafunzi kila siku utakuwa
unasolve conflicts tu!

Kama unaweza kuchagua mzazi bac wachague na mwalim
 
Upuuzi tu!we unaemwita ticha wako mchovu una nini cha maana kumzidi yeye?
 
Yaan,mwanafunzi amuasesi mwalimu?hivi vitoto ndo mana vinafeli siku hizi,havina adabu
 
Back
Top Bottom