Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,424
Nimesema hivyo kwa sababu, mimi binafsi nimesoma shule ya serikali nikiwa O'level then nikasoma shule ya private ktk A-level. Nikiwa O'level, kuna walimu ni wazi walikuwa wachovu ktk masomo wanayofundisha, wengine watoro hawaonekani darasani kwa muda mrefu n.k.
Wanafunzi mkienda kulalamika kwa academic master unakuta huyo academic anamwita huyo mwalimu husika wanaongea then hamwoni mabadiliko, mambo yanakuwa ni yaleyale au ndo yanakuwa mabaya zaidi!
Kwa sababu tayari jamaa ana hasira!
Nilipoenda A-level shule ya private mambo huko yalikuwa tofauti sana! Huko mliweza kubadilisha ticha mchovu ndani ya lisaa tu! Huko ticha mchovu aking'aa watu wanamsikilizia kipindi 1-2, wanamwanzishia anabadilishwa na it worked!