Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Nimetafakar san jambo hili lakini binafsi sioni jitihada wala nia ya dhati ya kukomesha ufisadi, rushwa, ubadhirifu wa mali za umma!! Hivi kwel tunaona tume zikiundwa mara vikosi kazi! Je kwann haviundwi vikosi kaz vya kuchunguza ufisadi, na rushwa?
Tumeona report nying za CAG mpaka kuweka waz vitengo husika kweny ubadhirifu na ufisadi, lakini hakuna hatua stahiki zinazochukuliwa kwa wahusika, mwisho wa siku ngoma inalala!! Je utawala wetu unabariki ufisadi na hayo mengine niliyoelezea? Kama hapana je kwann hawawachukulii hatua wahusika? Na kama wanachukuliwa hatua mbona kimya kimya?
Hatuwaoni wahusika pale kisutu au Mahakama nyingine? Kama Taifa ni vzr tupate majibu juu ya tatizo sugu mnoo la ufisadi,rushwa na ubadhirifu! NB; kila kukicha tunaona Mahakamani washtakiwa wa wizi wa kuku, mbuzi, ng'ombe, mara wezi wa milion mbili za halmashauri, lakini wezi wa Billions kamwe huez waona Mahakaman na kupelekwa kwa bwana jela.