Je kuna kazi zinazotangazwa kwa waliomaliza form 6?

Je kuna kazi zinazotangazwa kwa waliomaliza form 6?

siyenda

Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
62
Reaction score
4
wanajf naomba mnijuze kama kuna kazi zozote zinazotangazwa kwa form 6 leaver?kwani natafuta mtaji ili japo nipate pesa kwaajili ya kujiajiri.NAOMBA KUWASILISHA.
 
Back
Top Bottom