wanajf naomba mnijuze kama kuna kazi zozote zinazotangazwa kwa form 6 leaver?kwani natafuta mtaji ili japo nipate pesa kwaajili ya kujiajiri.NAOMBA KUWASILISHA.
Tembelea NAOMBAKAZI.COM angalia kwenye labels kuna volunteers jaribu hizo kuna za kulipwa na nyingine za bure tu unaweza kupata uezoefu na kwenda mbele zaidi