Je kuna kipimo cha kutambua tarehe ambayo umepata mimba?

Je kuna kipimo cha kutambua tarehe ambayo umepata mimba?

Unachezaje mchezo ambao haujui sheria na taratibu zake?

Usikimbie majukumu.

"the highest risk should give maximum profit"
 
Wewe piga hesabu mara ya mwisho kuona siku zako ni lini, mnataka mrahisishiwe kila kitu!

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Hata mi nasikiaga mtu anasema ameenda kupima akaambiwa ana mimba ya miezi miwili mfano

Em na mie nisubiri majibu
 
Nikusema kwamba unataka kujua mimba niyanani ?????? .nahisi kujua mimba imeingia tarehe gani ,,nijibu unaloutaji ili ujue mimba niyanani...

Kinyume nahapo wala haiku's nahaja yakujuabimeingia tarehe gan zaidi yakuambiwa una " ujauzito wawiki mbili".
 
Back
Top Bottom