Kitchetche
Member
- Apr 2, 2017
- 71
- 78
Mimba ipo hilo liko waz, ila nataka kujua siku au tarehe ambayo mimba imeingia?Kicheche nenda hosptali ukapate majibu.
hahahahaha huu mtanange lazima ulitoa kwa watu wawili tofauti ndo maaana wataka jua n yupi muhusikaMimba ipo hilo liko waz, ila nataka kujua siku au tarehe ambayo mimba imeingia?
Sent using Jamii Forums mobile app