Wanajamvi salaaam kwenu. Nimekuwa katika wakati mgumu wa kujua kiwango cha damu mwilini je normal ni ngapi kwa mwanaume? Maana nilishakwenda hospitali moja ya binafsi baada ya kupima kiwango cha damu daktari wa kwanza akaniambia nina damu nyingi sana, lakini nilipoingia kwa daktari mwingine akaniambia kwa mwanaume ni kawaida. Sasa sijielewi naomba msaada wa kujua.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums