Huyu mtu wetu Mimi huwa sioni hiyo Nia njema kwa nchi yetu wanayosema anayo zaidi ya maigizo,Ila moyoni mwake naona amejaa hila na uovu kwa nchi hii na watu wake
kama ni hivyo, basi tuna safari ndefu sana.Sidhani kama wanadanganya umma, uelewa wao ndipo ulipofikia kwamba nyungu, malimao, tangawizi na vitunguu swaumu ndio tiba sahihi.Kwamba kuna watu wana ajenda hasi dhidi ya nchi n.k
kama ni hivyo, basi tuna safari ndefu sana.
na wataalam wote tunaowapeleka nje kusoma na wao ndio wamekwamia hapo?.
Shida ni kwamba rais wako amejipa sifa ya umungu hivyo hataki kuonekana amekosea, yaani yeye kujifunza kutokana na kosa alilofanya na kubadirika hawezi ,analazimisha tu watu muendelee kuamini yupo sahihi labda mpaka na yeye afe ninyi mfe.Halafu kwanini ni corona tu?
Mbona magonjwa mengine tunafata kila kitu wanachosema wataalam wa afya?
Kwanini corona ?
Halafu kwanini ni corona tu?
Mbona magonjwa mengine tunafata kila kitu wanachosema wataalam wa afya?
Kwanini corona ?
Tungekwisha kwa Ndui kwa upuuzi wa mtu mmoja. Rejea kilichowakuta Nigeria kipindi cha Ndui.Ii ina maana Uyu bwana angekuepo toka zaman ata izo chanjo tusinge pigwa
Yaani tungekufa na manjano, surua, pepopunda, na angetuambia tumtangulize Mungu mbele, Mungu gani atakubali uzembe? Eti tuombe, tufunge! Ahaaa!Ii ina maana Uyu bwana angekuepo toka zaman ata izo chanjo tusinge pigwa
Inatokana na tabia ya kulazimisha mambo toka uchaguzi kura kuporwa na kulazimisha ushindi wa kishindo, sasa analazimisha kuondoa maradhi kwa maombi!Shida ni kwamba rais wako amejipa sifa ya umungu hivyo hataki kuonekana amekosea, yaani yeye kujifunza kutokana na kosa alilofanya na kubadirika hawezi ,analazimisha tu watu muendelee kuamini yupo sahihi labda mpaka na yeye afe ninyi mfe.
Mtu anaua raia, anateka na kupoteza watu, anabmbikia watu kesi za uhujumu uchumi, halafu awe na nia njema na raia?Hata mimi huwa nashangaa sana nikisikia wapambe wake wanasema eti ana nia njema kwa nchi, kwani nia njema ni mpaka wao watuambie sisi hatuwezi kuiona?