Je, kuna kuna mchekeshaji ambaye aliwahi kuchekesha na kukonga nyoyo za watu redioni kama Mzee Jangala?

Mzee Jangala yupo Dar mpaka leo,kuna mahojiano yake ya hivi karibuni kipindi cha Mswahili kinachoendeshwa na Zembwela,niliona Youtube,nenda Youtube utaona hayo mahojiano Mkuu.
Asante sana mkuu, ngoja nitayatafuta mahojiano yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…