AUGUSTINE MWINUKA
Member
- Jul 20, 2021
- 5
- 5
Zamani tulijibiwa na madaktari,saivi wanajibu machinga,wakulima na mazezeta waliodata kwa HIV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti nimeikuta fb, acha uongo wewe. Mmeyakanyaga na demu wako. Ndio mnaoleta watoto vichwa vikubwa au mazezeta
Pole Sana mkuu japo unajaribu kificha kuwa niwewe. Hayo matone nisehemu ya ukuaji wa mimba hivyo kutakuwa na athari kubwa au ndogo au zisiwepo hakuna jibu la moja kwa moja
Yaani nyie umbwa ndo mnasababisha wagonjwa wa ulcers washindwe kuuziwa vidonge sababu ya upumbafu wenu.
Shwaini kabisaaa
New member😊
Eti nimeikuta fb, acha uongo wewe. Mmeyakanyaga na demu wako. Ndio mnaoleta watoto vichwa vikubwa au mazezeta
Hata kama ni yeye huna haja kufukunyua lengo hapa ni kumpa ushauri kama unao. Hakuna aliyemkamilifu mbele za Mungu, wote tuna dhambi. Ni wangapi umewapa mimba ukijua au bila kujua wakatoa? Acheni kumtupia mawe kama huna cha kumsaidia ni bora ukae kimya. Maana kitendo cha kuandika hapa tena kwa siri ni anataka msaada na sio kuhukumiwa.Pole Sana mkuu japo unajaribu kificha kuwa niwewe. Hayo matone nisehemu ya ukuaji wa mimba hivyo kutakuwa na athari kubwa au ndogo au zisiwepo hakuna jibu la moja kwa moja