Haina madhara kwa muda huo wa wiki mbili. Madhara yatatokea kwenye battery kuisha chaji kama imeshaanza kuchoka...Siyo ishu kubwa sana unaweza kuchomoa terminal moja..Lengo sio kusafiri nayo,
Nataka niiache kwa wiki mbili bila kuendeshwa, je ina madhara?
Hii naitumia kwa mizunguko ya hapahapa mtaani.
Nani kakwambia kutoka Japan hadi hapa ni miezi mi3?Ndinga inapaki miezi 3 kutoka Japan hadi Tz sembuse wiki mbili?
acha hiyo miezi mitatuNani kakwambia kutoka Japan hadi hapa ni miezi mi3?