Je, kuna madhara kutumia majimaji ya mmea wa Alovera usoni?

Je, kuna madhara kutumia majimaji ya mmea wa Alovera usoni?

Mazoeya

Senior Member
Joined
Jul 10, 2018
Posts
102
Reaction score
84
Habari wakuu,naomba mnijuze kama kuna athari yoyote ya kupaka usoni majimaji ya mmea wa alovera.

Pia naomba mnijuze kama kuna faida ya kupaka majimaji hayo.Nasubiri mawazo yenu , asanteni.
 
We paka tu haina madhara. Faida tu ninyingi sana silibaaaaa unavotaka mkuu
 
Pia usisahau kuwa ukiyanywa yanafanya meno yang'ae
 
Una acne? Uso wako wa mafuta au?
Je kama anavyo?
Mimi pia mara chache chache natumia maji ya huo mmea(aloe vera).
Uso wangu una mafuta pia acne zisizoisha.(they come and go).
 
Back
Top Bottom