luqman luqman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 846
- 1,394
Wakuu habari za majukumu?
Hopefully kila mtu anatumia nafasi yake kujikinga na COVID19.
Gari yangu ni Toyota Vitz ya mwaka 2004 yenye 1290 CC. Juzi nikiwa katika mizunguko yangu ilinionesha taa ya overheating, bahati nzuri sikua mbali na fundi ninayemfahamu.
Baada ya uchunguzi fundi aligundua ile control ya feni imekufa lakini feni ni nzima.. akaniungia moja kwa moja yaani ukiweka tu switch ON feni inafunguka.. kanambia nitumie hivo hivo wakati nikitafuta hiyo control nyingine.
Natumia japo sina amani maana sio kama ilivokuwepo.
Wassalam
Sent from my iPhone using JamiiForums