luqman luqman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 846
- 1,394
Kutokana na uzoefu tu, ukichomoa huo waya ili feni iwe on muda wote, gari inachelewa kuwaka asubuhi.Haina Tatizo... Ila ukiweka switch on kama gari haijawaka itakuwa inanyinya battery...
Sent using Jamii Forums mobile app
madhara yake ni kidogo kidogoooooo kiasi kwamba unaweza usinotice. Feni ikizunguka all the time maana yake engine haitopata moto na hasa ukiwa unaendesha, hii ina affect unywaji wa mafuta wa gari kwa sababu gari itakuwa haijafikia proper operating temperature. Engine inatakiwa iwe moto ili ifanye kazi inavyotakiwa.
Fundi wako amekwambia ni relay au ni thermostat? In sort fanya utafute icho kinachotakiwa uendeshe chombo chako kwa uhakika. Hio feni kuwa wazi all the time ni kero nayo 😀
madhara yapo tena mengi tuu ww kama ni mmiliki wa hiyo gari mda mrefu iendeshe kama utakuwa makin utaanza kutambua jambo moja moja..
kwanza ulaji wa mafuta lazima uongezeke .performanc ya engine lazima ibadilike..
baada ya mda fulani engine huwa inajaa sana uchafu ukoko ndani ya engine kwenye cyrinder head na kwenye block wa oil huganda ganda .
ubadilishaji pia wa gear unakuwa sio mzuri.
na mengineyo.
fundi kakuongopea fen ya vits haina control yoyote mfumo wake ni signal kutoka kwenye ECU kwenda kwenye RELAY iweze kuwasha FEN switch ya THW hupeleka signa ya joto la maji ya kwenye engine ili kuifanya ECU itoe signal kwenda relay..RELAY yenyewe ikipokea signal toka kwenye ECU basi itafanya kazi ya kupeleka moto kwenye FEN na fen itawaka ili kupooza maji kwenye rejeta..
so hapo kuna vitu vi 3
THW
RELAY
ECU/CONTROL BOX.
ngoja nikifika ofisin nakuangalizia hichoo nakupa jibu boss.View attachment 1434225
Ni hicho ndio chenye shida kwa mujibu wa maelekezo ya fundi
Sent from my iPhone using JamiiForums
ngoja nikifika ofisin nakuangalizia hichoo nakupa jibu boss.
madhara yake ni kidogo kidogoooooo kiasi kwamba unaweza usinotice. Feni ikizunguka all the time maana yake engine haitopata moto na hasa ukiwa unaendesha, hii ina affect unywaji wa mafuta wa gari kwa sababu gari itakuwa haijafikia proper operating temperature. Engine inatakiwa iwe moto ili ifanye kazi inavyotakiwa.
Fundi wako amekwambia ni relay au ni thermostat? In sort fanya utafute icho kinachotakiwa uendeshe chombo chako kwa uhakika. Hio feni kuwa wazi all the time ni kero nayo 😀
Mafundi tuliokuwa nao hasa mtihani. kumbe tatizo thermostart. Hii ni sensor ambayo ina ripoti kwa ECU kuipa habari za joto la engine, ECU inapotambua joto lishakuwa kali sana sasa huwasha feni.Fundi alinishauri kuondoa thermostat kwa madai kuwa inazuia mzunguko wa coolant hivyo kupelekea fan kuzunguka muda mrefu.
Ushauri huu hauna madhara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafundi tuliokuwa nao hasa mtihani. kumbe tatizo thermostart. Hii ni sensor ambayo ina ripoti kwa ECU kuipa habari za joto la engine, ECU inapotambua joto lishakuwa kali sana sasa huwasha feni. Thermostat inapofeli, maana yake ECU haipati taarifa kama joto lipo sawa au limezidi ndio maana feni haiweki mana ECU inajua kuwa engine ipo kwa moto mdogo.
Kanunue thermostat nyengine na uiweke, tatizo litakwisha
Utasikia eeeennnnnnnhhhhhhhhhh!!!!!Ni kero sana mkuu.. kelele zinakua nyingi
Sent from my iPhone using JamiiForums
0654811140 anaitwa Temu anapatikana Mwananyamala kwa Kopa.Jamani kuna fundi mzuri wa wire na cooling system,namtafuta aliye kibaha pwani