Je,kuna madhara uume kubakia katika uke baada ya tendo?

lalikajr

Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
62
Reaction score
13
x-girlfriend wangu amekuwa aking'ang'ania uume kubakia katika uke wake kila baada ya tendo hadi kupitiwa na usingizi nakujikuta hadi asubuhitupo vilevile, je, kunamadhara yeyote katika hili? msaada wenu tafadhari
 
Ina maana hugeuki usiku kucha??sijawahi sikia kama kuna madhara hebu ngoja wataalamu kina mzizi mkavu waje watakuelewesha zaidi
x-girlfriend wangu amekuwa aking'ang'ania uume kubakia katika uke wake kila baada ya tendo hadi kupitiwa na usingizi nakujikuta hadi asubuhitupo vilevile, je, kunamadhara yeyote katika hili? msaada wenu tafadhari
 
x-girlfriend wangu amekuwa aking'ang'ania uume kubakia katika uke wake kila baada ya tendo hadi kupitiwa na usingizi nakujikuta hadi asubuhitupo vilevile, je, kunamadhara yeyote katika hili? msaada wenu tafadhari

Majanga jamani x-girl friend au girl friend? huo ni uchafu tu ina maana hamjisafishi.
 
Cjawahi ona madhara, for the past 5 years, ukishakaa dkk chache inanywea inatoka yenyewe, kufika asb Ni impossible mission
 
anataka ukidinidhsa tena muanze upya huo mchezo na apate mimba
 
hivi mnakuwa mmevaa condom au la? na kama mmevaa hizo sperms zinakuwaje? yan hapo ushampa mtu mimba.
 
Back
Top Bottom