Je,kuna madhara uume kubakia katika uke baada ya tendo?

Hahahahaha lol! Nyie watu mnachekesha sana LOL!!!! Dah!!!!

yaani mie ndo kabisaa nime image jinsi uume utakavyotoka kesho yake yaani utakuwa kama ulimwagiwa tindikali !
 
jamani, hii kitu ni UONGO!!! ile kitu ikinywea tu INATOKA YENYEWE...sasa ukidai wailaza ndani hadi asbh unataka kumdanganya nani? ACHENI UCHAFU HAMJAWA WANYAMA NYIE...KHA!!!! kinyaa!!!!
inategemea na umri, kuna umri huwa hainywei, unaweza ukapiga tisa ndani ya masaa 6 non stop na hainywei.

vijana wa siku hizi hawana kinyaa tena, kama wanalambana na kunyonyana ndude zao na midomo, kinyaa gani kimebaki tena? Bora mimi vegetarian sili nyama wala silambi nyama.
 
x-girlfriend wangu amekuwa aking'ang'ania uume kubakia katika uke wake kila baada ya tendo hadi kupitiwa na usingizi nakujikuta hadi asubuhitupo vilevile, je, kunamadhara yeyote katika hili? msaada wenu tafadhari

Acha ujinga,wadanganye form one
 
jamani, hii kitu ni UONGO!!! ile kitu ikinywea tu INATOKA YENYEWE...sasa ukidai wailaza ndani hadi asbh unataka kumdanganya nani? ACHENI UCHAFU HAMJAWA WANYAMA NYIE...KHA!!!! kinyaa!!!!

Ivo uchafu hapo uko wap?, Sperms ni uchafu...? Au we huko chini huwa kunatoa harufu...
 
Acheni utani, mtalimbo utabakije ndani ya K hadi asubuhi wakati ukilala tu wenyewe unajichomokea? Da thread nyining ni majanga tu na uongo mtupu!!!! Yaani ina maana unakuwa umedindisha hadi asubuhi? Misuli ya mb...ooo hapo niaje? Si misuli ya tumbo yote ikakatika? Acheni masihara!!!
 
x-girlfriend wangu amekuwa aking'ang'ania uume kubakia katika uke wake kila baada ya tendo hadi kupitiwa na usingizi nakujikuta hadi asubuhitupo vilevile, je, kunamadhara yeyote katika hili? msaada wenu tafadhari

CC lara 1
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…