Je kuna madhara ya kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu?

Je kuna madhara ya kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu?

moses one

Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
10
Reaction score
2
Mimi ni kijana nina miaka 22..

Mpaka nafika umri huu sijawahi kufanya mapenzi ..nimekuwa nikiishia kuwataman madem kila siku ila kuwaambia naogopa.

Vipi wadau hii ina madhara kweli? Na kama yapo ni madhara yepi?
Msaada tafadhali
 
mimi ni kijana nina miaka 22..mpaka nafika umri huu sijawahi kufanya mapenzi ..nimekuwa nikiishia kuwataman madem kila siku ila kuwaambia naogopa ..vipi wadau hii ina madhara kweli?/// msaada tafadhali
Yaani hadi 22 bado!!?[emoji33] Unatufanya tulioanza hiyo michezo tukiwa na miaka 9 tujione kama mashetani[emoji17]
 
Madhara yapo tena makubwa xn cz kunauwezekano mkubwa hapo baadae ukaongozw na mke wko cz hujui lolote Ila mkeo anajua na pia Kibalogia Kuna use and disuse so take care
 
Yaani hadi 22 bado!!?[emoji33] Unatufanya tulioanza hiyo michezo tukiwa na miaka 9 tujione kama mashetani[emoji17]
Inaonekana hukupata malezi sawia ndo maana akili yako inakudanganya ni ujanja. Kijana ameuliza kama kuna madhara wewe unaongea mengine yasiyotakiwa.
 
usipofanya ukifikisha miaka 25 unakufa. kwa hiyo jitahidi ufanye
 
Back
Top Bottom