Amato Ngowi
Member
- Apr 15, 2020
- 9
- 6
Kwenye mahindi baada ya palizi kwa kutumia DawaaKuweka udongo wapi sijakupata.
Kwenye shinaAmato Ngowi kuna kuweka udongo kwenye kikonyo kwa ajili ya kuzuia mdudu.
na kuna kuweka udongo kwenye shina yani kuinulia udongo ule mche wa mahindi.
swali lako limelenga wapi mkuu ?
Sent using Jamii Forums mobile app