mjumbewenu
Member
- May 5, 2016
- 10
- 3
MPANGAJI MWENZANGU MKEWE ANA MIMBA KUBWA ILA KILA SIKU ANAMLA MZIGO
DADA DUNIA HAINA SIRIHuh? Kweli wewe polisi jamii. Umejuaje? Au ndio taarifa za kiintelijensia?
usimuhakikishie kwamba ni baada ya wiki 6, ni vyema umwambie baada ya wiki 6 kukiwa hamna tatizo, kuna wengine wanakua hawajapona vizuri kama alichanika akashonwa,Baada ya kupata mimba unaruhusiwa kufanya tendo la ndoa hadi pale utakapoona inatosha,kipindi cha kujifungua (labour) huwezi kufanya mapenzi, baada ya kujifungua unatakiwa kukaa siku 42 yaani wiki sita, kipindi hiki kinaitwa (puerperium), na kuna maji maji ambayo yanaweza kujitokeza kwa mama yanaitwa lochi. Baada ya wiki sita unaweza kukutana na mkeo kama atakuwa tayari na hana tatizo lolote, muhimu kutumia uzazi wa mpango ili kuepuka mimba isiyotarajiwa