Je, Kuna madhara yoyote endapo mwanaume atajichelewesha kufika kileleni kwa makusudi?

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
1,714
Reaction score
1,829
habari za hapa wanajukwaa wenzangu samahani ningependa kujua kama kuna madhara yoyote yatakayompata mwanaume endapo atajichelewesha kumwaga wazungu kwa makusudi wakati wa tendo la ndoa nauliza hivi kwa maana juzi nilivokuwa kwenye mechi wakati bao la pili linakaribia kutoka nikatoa mtarimbo wangu haraka sana ili nisimwage na kweli sikumwaga.....cha ajabu baada ya hapo sikupata nafasi tena ya kupata bao jingine pamoja na juhudi zote nilizozionyesha uwanjani

Nisaidieni maana toka siku hiyo nawaza sana na pia nakosa amani kabisaa...
 
no problem some tm hutokea huo ndo ulijar hop shem alienjoy sanaa next tm mhamasishe zaid nae kujituma ili umzawadie wazungu🙁
asante sana mkuu kwa mchango wako....
 
Dr drapooh

Naomba msaada no 7
 

asante sana Dr. ntashukuru ukini PM . ubarikiwe
 
NAOM
BA MSAADA FOMULA NO7
 
Hiyo ni practice kwenye sexual kung fu...hapo unafanya semen retention...inafaida sana hiyo...na mimi nikifanya hivo uwaga najiona kichwa kimekua very stable

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…