Je, kuna madhara yoyote kumfanyia squirting mjamzito?

Kichankuli

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2008
Posts
887
Reaction score
190
Salamu JF Dr.

Mimi na mpenzi wangu ambaye nimemfundisha kusquirt na sasa ni mtaalamu wa hali ya juu. Kwa hivi sasa ni mjamzito, je kuna madhara yeyote akiendelea kusquirt wakati wa ujauzito wake? Kama kuna madhaa tunatakiwa kuacha baada ya muda gani wa ujauzito wake?

Asanteni
 
Kuna tofauti kati ya squirt na squat ! Kipi unachozungumzia hapa!?
 
Ungeanza kwa kutoa maana ya squirt kabla hujaendelea.
 
Mkuu sana sana unauliza kuna madhara kwa mke
Wako kukojoa kwa kasi wakati unamtekenya ?

Sioni madhara uchafu tu labda.
 
wakati wa kujifungua pia mwanamke lazima apige squirt ya maana..ndio maana huwa wanasema mama aliyejifungua utamu wake wote umetoka na mtoto..na ndio maana mapenzi pia huhama kwa baba na kuhamia kwa mtoto,kwaio jitahidi umsquirtishe kabla hajazaa mkuu,
 
Nadhani haina madhara maana squirting from clitoral or gspot stimulation haziwezi kwa njia yoyote kuathiri cervix. Labda kama mimba ni mkubwa (miezi 7 plus) na reaction ya shemeji hufurahia squirting kwa kujirusha rusha na fujo kibao inaweza isiwe salama sana. Hebu sema shemeji hufurahiaje akiwa kwenye peak ya squirting?
 
Aisee!
Kwa hiyo anapata maumivu ya kujifungua huku anasikia raha, hii paradox kali sana!
 
Inategemea unamsquirtisha kwa style ipi, kama ni kwa
*Penetration: haina madhara
*katerero: madhara ni makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…