Je, kuna Madhara yoyote ya kiafya ,Mtu anayoweza kupata kwa kutumia "Margarine"

commm

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
1,709
Reaction score
1,963
Naomba kufahamishwa kama kuna madhara yoyote
 
Magonjwa yote ya mfumo wa Damu pamoja na Ini.
 
Mmh! siyi kwel bhana.
Nchofaham mm Margarine huleta Cholestral kwenye dam.
Sasa ynaposema maginjwa yote ni nn?
Unataka kusema Tetekuwanga, Ukimwi, Kisonono, Kaswende Ukoma nao huletw na Margarine[emoji1][emoji2][emoji3]
 
Rudia kusoma, nimesema magonjwa yote ya mfumo wa Damu.
 
Back
Top Bottom