Je,kuna matatizo yoyote Kumtahiri mtu mzima?

Stanboy

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
1,114
Reaction score
1,308
Ndg zangu,
Nahitaji kujua kama kuna madhara yoyote kutahiri ukiwa na umri kuanzia miaka 16-
Asanteni.
 
Kama aliwahi kuonja papuchi siku nyingine akionja hata ona raha kama mara ya kwanza, zaidi ya hapo hakuna madhara ya aina yeyote ile.
 
Hakuna madhara yeyote ila unashauriwa uwe maeneo yenye baridi sana, kwahiyo nenda Arusha, Mbeya au Mufindi hivi.
 
hakuna madhara ila inakuaje uchelewaji kiasi hicho kama watu wa kanda fulani vile
 
Ndg zangu,
Nahitaji kujua kama kuna madhara yoyote kutahiri ukiwa na umri kuanzia miaka 16-
Asanteni.

Hata ukiwa na umri wa miaka 50 mshorombo lazima ukatwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…