Hili Yanga anafahamu! Atakuja kurudishiwa point zake kwa kuifunga Tabora United magoli 5-0 (mawili kati ya hayo yatakuwa ya penati za mchongo). Na Simba atakuja kunyongwa baadhi ya mechi ili Yanga atetee ubingwa wake!Japo haijathibitishwa ni kwa namna gani iliwezekana lakini tukio la kufungwa Yanga bao 3 kwa moja na Tabora united ni mojawapo.
MkuuHali ni mbaya sana kuelekea kwenye uchaguzi wao serikali za mitaa. Ukiachilia mbali kule kuchezea daftari la wapiga kura kwa:
Sasa wamekuja na kituko kingine, Wagombea wa upinzani wa nafasi mbali mbali wameenguliwa kwa asilimia 80.
- Kuongeza majina bbandia
- Kuongeza majina ya waliopotea
- Kuongeza majina ya wanafunzi
- Kuongeza majina ya marehemu na katika ujumla wake kughushi taarifa za hayo makundi yote.
Bila kutafuta matukio makubwa ya kufunika walau kwa muda madudu ya uchafuzi wao uchaguzi wa serikali za mitaa hali inaweza kuwa mbaya zaidi. Hivyo basi ni lazima kutengeneza matukio makubwa
1. Japo haijathibitishwa ni kwa namna gani iliwezekana lakini tukio la kufungwa Yanga bao 3 kwa moja na Tabora united ni mojawapo.
2. Mkuu wa nchi haonekani, yametengenzwa mazingira ya kumuulizia yuko wapi.
Hii imetoa nafasi kubwa ya kuzalisha mijadala kila kona ya nchi.
Wapangaji wa haya matukio wakiona graph imeshuka watapandisha mengine fasta.
Hivyo basi kuanzia kesho tutegemee kuletewa matukio mapya na yatakuwa ni bandika bandua mpaka uchaguzi upite!
π π π π π€£ π π
Kawaida hiyo, ndio mbinu za, serikali za hovyo zikikosa Majibu ya issue za msingi,Hali ni mbaya sana kuelekea kwenye uchaguzi wao serikali za mitaa. Ukiachilia mbali kule kuchezea daftari la wapiga kura kwa:
Sasa wamekuja na kituko kingine, Wagombea wa upinzani wa nafasi mbali mbali wameenguliwa kwa asilimia 80.
- Kuongeza majina bbandia
- Kuongeza majina ya waliopotea
- Kuongeza majina ya wanafunzi
- Kuongeza majina ya marehemu na katika ujumla wake kughushi taarifa za hayo makundi yote.
Bila kutafuta matukio makubwa ya kufunika walau kwa muda madudu ya uchafuzi wao uchaguzi wa serikali za mitaa hali inaweza kuwa mbaya zaidi. Hivyo basi ni lazima kutengeneza matukio makubwa
1. Japo haijathibitishwa ni kwa namna gani iliwezekana lakini tukio la kufungwa Yanga bao 3 kwa moja na Tabora united ni mojawapo.
2. Mkuu wa nchi haonekani, yametengenzwa mazingira ya kumuulizia yuko wapi.
Hii imetoa nafasi kubwa ya kuzalisha mijadala kila kona ya nchi.
Wapangaji wa haya matukio wakiona graph imeshuka watapandisha mengine fasta.
Hivyo basi kuanzia kesho tutegemee kuletewa matukio mapya na yatakuwa ni bandika bandua mpaka uchaguzi upite!
Next week tutege vema masikio yetu...Kawaida hiyo, ndio mbinu za, serikali za hovyo zikikosa Majibu ya issue za msingi,
Kwenye nchi ya samia, ataweka Simba na Yanga,ataua mtu, atatengeneza bifu za kijinga za Mond na kiba,au itavujishwa Mond kamuacha zuchu!
Spinning of the news!
Acha uchawi πΌNext week tutege vema masikio yetu...
Hilo neno legendary lisomeke legend halafu mtauza sana
Huo Ndio uwezo waoNikiwasalimu kutoka Havana Cuba ni mimi Jooji Marato wa I T Viiiii
View attachment 3148515