Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Fomu ni Yakugombea uongozi kwenye vyombo vya dolaSio vita. Labda ungeandika
"kunaonesha ndani ya CCM kuna drama inaendelea nyuma ya pazia?"
hakuna mvutano wowote,ama kuhusu kutogombea kwa waziri mkuu,hilo kila mtu alilitarajia kutokana na jinsi alivyokuwa anfanya wakati wa kifo cha magufuliKujiondoa kwa Majaliwa kwenye nyazifa ya ubunge baada ya kutangaza hapo awali kuwania tena kunaonesha ndani ya CCM Kuna vita inaendelea nyuma ya pazia ?
Baada ya nape kuondolewa uwaziri tuliona viongozi wa juu wa CCM wakijiondoa pia je unafikiri Nape atakuwa upande wa Samia kwenye huu uchaguzi ?
Kuwa na uhusiano na suala hili sio mpaka uzaane nao tumbo moja hawa wanaunda serikali yakoSasa unamuliza nani kwani siye tunaundugu nao
hakuna vita bali amepima kuwa mkuu wa nchi hamuhitaji tenaKujiondoa kwa Majaliwa kwenye nyazifa ya ubunge baada ya kutangaza hapo awali kuwania tena kunaonesha ndani ya CCM Kuna vita inaendelea nyuma ya pazia ?
Baada ya nape kuondolewa uwaziri tuliona viongozi wa juu wa CCM wakijiondoa pia je unafikiri Nape atakuwa upande wa Samia kwenye huu uchaguzi ?
Basi humu hakuna atakaye kupa majibu sahihi maana kuna uchawaKuwa na uhusiano na suala hili sio mpaka uzaane nao tumbo moja hawa wanaunda serikali yako
Sio kweli, inategemea na uelewa wa watu, wote humu tuna mitizamo tofauti fofauti kwa kifupi huu ni mjadara niliouleta kwa wananchi.Basi humu hakuna atakaye kupa majibu sahihi maana kuna uchawa
KM hakuondoka kwa hiari...Kujiondoa kwa Majaliwa kwenye nyazifa ya ubunge baada ya kutangaza hapo awali kuwania tena kunaonesha ndani ya CCM Kuna vita inaendelea nyuma ya pazia ?
Baada ya nape kuondolewa uwaziri tuliona viongozi wa juu wa CCM wakijiondoa pia je unafikiri Nape atakuwa upande wa Samia kwenye huu uchaguzi ?
Hii remote isipozimwa itatusumbua sana watanganyikaRemote imeamua nini?
No Reform No ElectionFomu ni Yakugombea uongozi kwenye vyombo vya dola