mi kwa uelewa wangu kwa bank huwa dhamana ni mali isiyohamishika ndio inaweza kutumika.. Ila dhamana ya gari inaweza kutumika kweny microfinance institution kama saccos coz lengo lake ni kusaidia watu wa chini ambao hawana uwezo wa kumudu dhamana za bank.. Na huko kinachotakiwa ni blue card yenyewe gari unabaki nayo..
Source: i'm a banker by profession