Je kuna Mkopo Kwenye Diploma Kozi Za Afya ?

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
795
Reaction score
155
Jamani Naomba Kuuliza hivi watu wanaokwenda kusoma diploma MUHAS, KCMC au chuo chochote cha afya cha Serilikal. Je Ni Kweli Wanapewa Mkopo?
 
ngoja waje watuthibitishie mkuu na mm nimeskia fununu kama hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…