Afya Ina mtupa mkono ila ni mkweli sana sanaaMzee Joseph Sinde Warioba (Jaji Mstaafu)! Huyu mwamba ni hazina ya Taifa letu la Tanganyika.
Mmmh apostle NINI KIMETOKEA ☺️Bado saa moja kuelekea tukio zito hapa JF
Wantanganyika wenzetu waliobaki watatuuza ZanzibarKwa kweli kuamua kuacha mikate na siagi na kuamua kutoka kwenye himaya ni kitendo kitakatifu sana.
Wote waliobaki nikiwaangalia wamebaki wapiga zumari na machawa ...
Unapopewa nafasi na kisha nafasi hiyo umewekwa kama kivuli ni sawasawa na Zombi tu hakuna tofauti...
Katiba ya Kambarage ndio iliyotufikisha hapa.....
Ugomvi hapa ni mzenji kuwa TOP! ... likiondoka hilo yote yatasahauliwa!Wantanganyika wenzetu waliobaki watatuuza Zanzibar
1.Paul Makonda
2.Paramagamba Kabudi
3.Lameck Nchemba
4.Wasira Stephan