halfcastmangi
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 605
- 1,644
Wapo wengi...lakini mmewanyima uraia pacha.Je kuna mtanzania anaingiza kipato kutokana na Teknolojia hii ya artificial?
Naomba kama wapo basi tupeane maarifa hapa, iwe artificial intelligence jumlisha na social media basi tupeane maarifa ili wengi tujikwamue kiuchumi.
Hii kitu imenisaidia sana kwenye kazi zangu, report zangu zimeongezeka quality na kitu Cha masaa sasa ni dakika tuu
Maana yake unaangalia majibu inayotoa na kuya rate au kuyamodify.Job zipo upwork, kuna job nimetoka kuichek now inaitwa Levarage AI .
Pia unaweza kuingiza hela kwa kutengeneza picha 'create image with AI" kiufupi mimi siingizi hela yoyote kwa AI
HowAI inanisaidia kutengeneza social media post kwa client wangu wa Upwork
Boss ulipata partner kule kwenye biz? Sorry km nimekosea!AI imenisaidia kwenye social media content
aysee siwazi ni copy and paste