MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 843
Salamu wakuu. Nilikua naomba kufahamu kama kuna mtu ana fahamu kidogo historia ya huyu raisi wetu mstaafu kuanzia udogoni mpaka kuja kuupata uraisi. Nimegundua najua kidogo sana kuhusu historia ya huyu bwana ukiacha kwamba alikuaga muandishi wa habari.