MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 843
Alisoma tabora government school na alifundishwa na mwalimu.
Kwani wewe ulifundishwa na monitor?!
Hapana. Mkapa hakusoma Tabora school. Alisoma Pugu,na hapo ndipo alipofundishwa na Mwl J. K. Nyerere.Alisoma tabora government school na alifundishwa na mwalimu.
Kwa kweli ana CV nzuri sana.
Ila nashindwa kuelewa, kwa nini alikuwa mwizi, mwenye tamaa na asiye na
uchungu na hii nchi? Au ana akili fupi kama yeye mwenyewe?...