SAIDI MWINYIMVUA
Member
- Oct 19, 2022
- 62
- 59
Siku aliyo tambulishwa Mudathir Yahaya baadhi ya mashabiki wengi wa Yanga waliokusoa uongozi kuwa wamesajili galasa, hali ya kuwa wengi hawakujuwa uwezo halisi wa uyo mchezaji.
Sasa je, katika izi mechi mbili za Mapinduzi alizocheza kwa tulivyoona uwezo wake kuna mwananchi yoyote mwenye mashaka na uwezo wa Mudathir?
Sasa je, katika izi mechi mbili za Mapinduzi alizocheza kwa tulivyoona uwezo wake kuna mwananchi yoyote mwenye mashaka na uwezo wa Mudathir?